Wabaptisti: Ukuhani wa Muumini au Waumini?
“Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingine katika nuru yake ya ajabu.” I Petro 2:9 “Kila muumini ni kuhani, yaani kote mbele za …